Villa

Executive Villa ya Kisasa - Kigamboni (Sara, Amani Beach)

Sara, Amani Beach, Kigamboni
Executive Villa ya Kisasa - Kigamboni (Sara, Amani Beach) placeholder image

About this property

Villa ya kifahari iliyo karibu na bahari eneo la Sara, Kigamboni. Imejengwa kwa ubora wa hali ya juu, inatoa mandhari nzuri ya bahari na faragha kamili kwa wakaazi wa muda mrefu.

  • Vyumba 2 vya kulala (vyote ensuite) na jumla ya mabafu 4
  • Gym ya rooftop na eneo la BBQ lenye view ya bahari
  • Umbali wa dakika 7 tu kutembea hadi Amani Beach
  • Eneo salama na la kifahari, linafaa kwa wakuu wa kampuni au wageni wa muda mrefu
  • Ina vifaa vyote vya kisasa – dishwasher, cooker, fridge, washing machine

Eneo: Sara, Amani Beach – Kigamboni, karibu na eneo la viwanda vya Kigamboni.

Features

2 Bedrooms
4 Bathrooms
400.00 m² Area
Ensuite Bedrooms
Rooftop Gym
BBQ Area
Ocean View
Fully Furnished

Amenities

24/7 Security
Internet
Water Supply
Electricity
Private Compound

Price

Contact for Price

Contact Agent via WhatsApp