Residential Land
Kiwanja cha Makazi - Sinza Block D
Sinza Block D
About this property
Kiwanja kizuri kilichopo Sinza Block D, jirani na Vatican Hall. Kina ukubwa wa mita za mraba 288 na kinakuja na hati halali ya miaka 99. Eneo ni zuri kwa ujenzi wa nyumba ya kisasa ya kuishi au uwekezaji wa muda mrefu.
Umbali mfupi kutoka barabara kuu, huduma zote muhimu kama maji, umeme, na mawasiliano zinapatikana. Mazungumzo ya bei yapo.
Features
288.00 m² Area
Hati ya miaka 99
Maji
Umeme
Upatikanaji wa barabara
Amenities
Maji
Umeme
Mawasiliano
Usalama wa eneo