Residential Land
Kiwanja cha Makazi Kigamboni- kata ya Kisarawe II
Kisarawe, Tumaini

About this property
Kiwanja cha ukubwa wa sqm 324 kipo Mtaa wa Tumaini, Kata ya Kisarawe II. Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi kutokana na utulivu na usalama wa eneo husika.
Huduma muhimu kama maji, umeme na barabara zinapatikana karibu. Ni nafasi bora kwa mtu anayetafuta eneo la kujenga nyumba ya kudumu.
Features
324.00 m² Area
Inafaa kwa makazi, Maji na umeme karibu, Barabara nzuri, Usalama wa eneo
Amenities
Maji, Umeme, Barabara ya kufikika, Huduma za jamii karibu