Residential Land
Kiwanja cha Makazi - Tundwi Songani
Tundwi Songani
About this property
Kiwanja kizuri chenye ukubwa wa sqm 1000 kipo Mtaa wa Nyange, Kijiji cha Tundwi Songani, Kata ya Pemba Mnazi. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Tundwi Songani kwenda Kibada, lina hati halali japokuwa halijapimwa (unsurveyed with legal document).
Eneo linafaa kwa makazi au uwekezaji wa baadaye kutokana na upatikanaji wa huduma zote muhimu na maendeleo ya haraka katika eneo hili.
Features
1000.00 m² Area