Residential Land
Eneo la Viwanda au Makazi - Kiluvya Makurunge
Kiluvya Makurunge
About this property
Eneo hili lipo Kiluvya Makurunge, karibu na shule ya Sisters of Mary Secondary School. Umbali wa takribani 11 km kutoka Morogoro Road. Eneo linafaa kwa matumizi mbalimbali kama viwanda vidogo, makazi, kilimo au ufugaji.
Eneo linafikika kwa urahisi mwaka mzima na huduma muhimu za maji na umeme zinapatikana karibu. Mazingira ni salama na yanafaa kwa uwekezaji wa muda mrefu.
Features
24281.10 m² Area
Maji karibu, Umeme upo, Barabara ya Morogoro 11km, Inafikika mwaka mzima
Amenities
Maji, Umeme, Barabara nzuri, Usalama wa eneo