Agricultural Land
Shamba la acre 6 - Mkuranga (Mwanambaya)
Mkuranga, Mwanambaya

About this property
Eneo kubwa lenye ukubwa wa hekari 6 lipo Mkuranga, kata ya Siloweko kijiji cha Mwanambaya, umbali wa mita 800 kutoka barabara ya lami.
Eneo linafaa kwa shughuli za kilimo, ufugaji, au uwekezaji wa viwanda vidogo. Mazingira ni tulivu na yanafikika kirahisi kwa gari mwaka mzima.
Features
160000.00 m² Area
Eneo Kubwa
Mita 800 kutoka lami
Fikika mwaka mzima
Amenities
Maji
Umeme
Barabara nzuri
Usalama wa eneo